Badilisha Maisha Maisha Yako Kwa Shilingi Laki Moja ( 100, 000/=TZS ) !

Haijawahi Kuwa Rahisi Na Haiwezi Kuwa Rahisi! Kuna Taarifa Nyingi Mtandaoni Lakini Kupata Taairifa Sahihi Ndo Ugumu Unakuwa Hapo!  

Kama Umewahi Kufanya Forex Au Unafanya Nadhani Unaelewa Namaanisha Nini.

Forex ni Biashara Kubwa Kuliko Biashara yoyote Ulio Wahi kuskia. Sote Tunaelewa inafanyika Mtandaoni. 

Kuna Msemo kuwa Biashara  ya Forex Ni Risk Kwa Mtaji Wako. Lakini Chukua Hii Pointi Leo Biashara Hii inakuwa Mbaya ukiwa Na taarifa Ambazo siyo Sahihi!


Hizi siyo Zama Za trend Line tu Wala nini soko Linabadilika kila siku kutokana na mabadiliko ya kasi kwenye uchumi wa dunia.

Ndio maana Nimeamua Ku-share Hii Kozi (course) inayoeleza Nini Tunapaswa tufanye wakati tunafanya Analysis Sokoni.


Kumbuka Hii Ni Kitu Ambayo Hujawahi kusikia Mahali achana na Takataka za Youtube Chukua Hii kozi Ubadili Maisha Yako Kwa Ku-trade soko hili kubwa la mtandao kwa USahihi.

Hii kozi (course) Nimeichukua Kwa Dolla 397 ambayo ni sawa na Shilingi 920 643.00/= .

Wewe Unaichukua Kwa Laki Moja Tu. 100, 000/= TZS Kama Hujawahi Kujua Nguvu Ya Forex Jaribu hii Kitu uone Namaanisha nini.

Unaweza Kuwa Umepitia Taarifa Nyingi Mitandaoni Especially Google na Youtube Lakini Huelewi maana taarifa Ni Nyingi na Hujui Taarifa Sahihi Ni ipi.

Kozi ipo Kwa Mfumo Wa Video Na  Guides No Bra! Bra!


  Uchungu Wa Kuunguza Account ninauelewa vizuri inaweza kufikia muda unaweka order mpaka mikono inatetemeka yani asikwambie Mtu Forex Siyo Biashara ya Kila Anaye jiskia Anafanya.

Huu Mchezo Wa Kupata Leo Ukapoteza kesho utaendelea nao Mpaka Lini?

Kwani Hao Wanaotamba Mitandaoni Wanafanyaje?

Ni Kitu Gani Wanacho Spesho We Huna?

inakuwaga mbaya zaidi umechoma account na unavoingia mtandaoini especially insta.. unakuta wengine wana enjoy. Hizo zinakuwaga nyakati ngumu Asikwambie mtu.

Kumbuka! Hasara Sokoni inatokea tu pale ambapo huelewi unachokifanya we mwenyewe nafsi inakusuta iv apa ni buy kwel au ni sell…. Ndugu Yangu Hilo jambo Siyo Zuri Hata Kidogo inaonesha jinsi gani unavyocheza kamari. 

Hakuna kitu Kizuri Kama Kuwa Unaelewa Unachokifanya Yani ikiwa ina Buy au ina sell unajua kabisa kwmba hapa piga ua garagaza inaenda! halafu huna wasiwasi Hiyo Ndiyo inaitwa trading.


Comments