Posts

Showing posts from February, 2021

Badilisha Maisha Maisha Yako Kwa Shilingi Laki Moja ( 100, 000/=TZS ) !

Image
Haijawahi Kuwa Rahisi Na Haiwezi Kuwa Rahisi! Kuna Taarifa Nyingi Mtandaoni Lakini Kupata Taairifa Sahihi Ndo Ugumu Unakuwa Hapo!   Kama Umewahi Kufanya Forex Au Unafanya Nadhani Unaelewa Namaanisha Nini. Forex ni Biashara Kubwa Kuliko Biashara yoyote Ulio Wahi kuskia. Sote Tunaelewa inafanyika Mtandaoni.  Kuna Msemo kuwa Biashara  ya Forex Ni Risk Kwa Mtaji Wako. Lakini C hukua Hii Pointi Leo Biashara Hii inakuwa Mbaya ukiwa Na taarifa Ambazo siyo Sahihi! Hizi siyo Zama Za trend Line tu Wala nini soko Linabadilika kila siku kutokana na mabadiliko ya kasi kwenye uchumi wa dunia. Ndio maana Nimeamua Ku-share Hii Kozi (course) inayoeleza Nini Tunapaswa tufanye wakati tunafanya Analysis Sokoni. Kumbuka Hii Ni Kitu Ambayo Hujawahi kusikia Mahali achana na Takataka za Youtube Chukua Hii kozi Ubadili Maisha Yako Kwa Ku-trade soko hili kubwa la mtandao kwa USahihi. Hii kozi (course) Nimeichukua Kwa Dolla 397 ambayo ni sawa na Shilingi 920 643.00/= . Wewe Unaichukua Kwa Laki Moja Tu . 100